Mkoa wa Ohangwena
Mkoa wa Ohangwena ni mmoja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia wenye wakazi 227,728 kwenye eneo la km² 10,582.
Jiografia
haririMiji mikubwa ni pamoja na Eenhana na Oshikango.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa |
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ohangwena kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |