Mkoa wa Kunene
Mkoa wa Kunene ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 68,244 kwenye eneo la 144,255 km². Mji mkuu ni Opuwo.

Jiografia Edit
Miji mikubwa ni pamoja na Opuwo na Outjo.
Kunene na Hoanib ni mito muhimu zaidi.
Picha za Kunene Edit
-
Wahimba
-
Mto Kunene
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kunene kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa |