Hellen Dausen

Hellen Dausen (amezaliwa tar.) ni mwanamke Mtanzania aliyetangazwa na kampuni ya Forbes kama mmoja wa wajasiriamali matajiri chini ya miaka thelathini (30) na wengine toka nchi ya Kenya, Madagascar, Nigeria, Benin, Gambia na Zimbabwe[1].

Pia ni mshindi wa taji la Urembo Tanzania mwaka 2010 [2] na mwanzilishi na mjasiriamali katika shughuli za urembo wa kampuni inayoitwa Nuya's Essence, LLC. Natural Bath & Body Care.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hellen Dausen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.