Henchir-Khachoum ni eneo na safu ya sehemu za akiolojia katika Gavana wa Sidi Bouzid katika Tunisia ya leo. Magofu hayo yametapakaa kando ya kijito cha mto Oued El Hatech mashariki mwa Sbeitla.

Mahali pa Henchir-Khachoum katika ramani ya Tunisia kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 35°13′53″N 9°7′46″E / 35.23139°N 9.12944°E / 35.23139; 9.12944

Wakati wa Dola la Roma kulikuwa na mji wa Kirumi wa mkoa wa Kirumi wa Afrika Proconsularis, uitwao Muzuca, mmojawapo kati ya miji miwili ya Afrika Kaskazini inayoitwa jina hilo. [1]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Henchir-Khachoum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.