Hermani Yosefu
Hermani Yosefu, O. Prem. (Köln, 1150 hivi – Hoven, 7 Aprili 1241) alikuwa padri wa shirika la Premontree nchini Ujerumani maarufu kwa kumpenda kitoto Bikira Maria na kuadhimishwa kwa tenzi na nyimbo za sifa Moyo Mtakatifu wa Yesu[1].
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu, hasa baada ya kutangazwa rasmi na Papa Pius XII tarehe 11 Agosti 1958.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |