Hervei (pia: Hervé, Harvey, Herveus au Houarniaule; Guimiliau, Brittany, Ufaransa Kaskazini-Magharibi, 521 hivi - 575) alikuwa kipofu tangu kuzaliwa aliyekuwa akiimba kwa furaha[1] maajabu ya mbinguni [2].

Sanamu yake.

Aliishi kama mkaapweke hadi alipoanzisha monasteri, akikataa upadri na kukubali kupewa tu daraja ndogo ya uwingaji.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 17 Juni[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Monks of Ramsgate. "Herveus". Book of Saints 1921. CatholicSaints.Info. 2 September 2013 Kigezo:PD-notice
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/57790
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.