Hidulfi (pia: Hidulf, Hildulf, Hidulfus, Hidulphus, Hiduiphus, Hidulphe, Hydulphe; alifariki 707) alikuwa mmonaki halafu askofu wa 29 wa Trier, leo nchini Ujerumani, kwa miaka mitano. Baadaye aling'atuka na kwenda kuishi upwekeni kwenye milima ya Vosges, leo nchini Ufaransa, ila alifuatwa na wengi akawaanzishia monasteri ya Moyenmoutier akaiongoza hadi kifo chake [1][2].

Orodha ya maaskofu wa Trier.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 11 Julai[3][4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/61740
  2. Odden, Per Einar. "Den hellige Hidulf av Moyenmoutier (~612-707)", Den katolske kirke, November 28, 2015
  3. Martyrologium Romanum
  4. Muessig, Dr Carolyn; Jones, Dr Graham (9 Aprili 2004). "Saints at a Glance". University of Leicester. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Desemba 2007. Iliwekwa mnamo 2023-11-05. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Marejeo

hariri
  • Olaf Schneider: Erzbischof Hinkmar und die Folgen: Der vierhundertjährige Weg historischer Erinnerungsbilder von Reims nach Trier. Berlin, New York, 2010
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.