Hieronide, Leonsi na wenzao

Hieronide, Leonsi na wenzao Sarapioni, Seleusi, Stratoni na Valeriani (walifariki Aleksandria, Misri, 300 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Kaisari Diokletian.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 12 Septemba[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.