Hifadhi ya Burigi-Chato
eneo la hifadhi katika Mkoa wa Tanga, Tanzania
Hifadhi ya Burigi-Chato ipo katika mikoa miwili ambayo ni Kagera na Geita, ndani ya wilaya za Karagwe, Biharamulo, Muleba na Chato, kaskazini magharibi mwa Tanzania[1].
Hifadhi hiyo ilianzishwa mnamo mwaka 2019 na ina ukubwa wa kilometa za mraba 4707.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Burigi-Chato National Park". Tanzania National parks. Iliwekwa mnamo 2023-08-01.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Burigi-Chato kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |