Hugo Rafael Chávez Frías (28 Julai 1954 - 5 Machi 2013) alikuwa mwanasiasa ambaye alikuwa rais wa Venezuela kutoka mwaka 1999 hadi kifo chake mnamo 2013.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hugo Chávez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.