Fisi

(Elekezwa kutoka Hyaena)
Fisi
Fisi madoa (Crocuta crocuta)
Fisi madoa (Crocuta crocuta)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Hyaenidae (Wanyama walio na mnasaba na fisi)
Gray, 1869
Ngazi za chini

Jenasi 3, spishi  :

Msambao wa fisi: buluu - H. hyaena kijani - C. crocuta kahawia - H. brunnea nyekundu/zambarau - P. cristata
Msambao wa fisi:

buluu - H. hyaena
kijani - C. crocuta
kahawia - H. brunnea

nyekundu/zambarau - P. cristata

Fisi (kwa Kiingereza: hyena), ijapokuwa wanafanana kiasi na canids, hutengeneza familia tofauti kabisa ya kibiolojia inayofanana kwa karibu kabisa na Herpestidae (familia ya mongooses na meerkats), hivyo kuangukia kwenye Feliformia. Spishi zote wana mwendo mithili ya dubu, kumpakakana na miguu yao ya mbele kuwa mirefu zaidi kuliko ile ya nyuma. Aardwolf, Fisi Mistari na Fisi Kahawi, huwa na madoa yaundayo mistari na nywele mgongoni ambazo husimama pindi wanapoogopeshwa. Manyoya ya Fisi Madoa huonwa mafupi zaidi na yenye mtindo wa madoa kuliko mistari.

Fuvu la Hyaena eximia
Fuvu la kichwa la Crocuta macrodonta
Fuvu la kichwa la Ictitherium viverrium, American Museum yaNaturak Hismpakary
Fisi madoa wa nusufamilia ya Hyaeninae

Fisi madoa, na kwa uchache fisi mistari na wale wa kahawia wana meno chonge yenye nguvu zaidi kwaajili ya kukatia nyama, na magego kwaajili ya kusagia mifupa. Fisi madoa huaminika kuwa na uwezo mkubwa wa kung’ata, na wanyama wa jamii hiyo pia nao huonekana wenye nguvu pia. Aadwolf huwa na meno machache kidogo upade wa mashavuni, na wakati mwingine hukosa kabisa katika umri mkubwa, lakini vinginevyo wote wana mpango wa meno wa kufanana.

Jamii ya fisi madoa huishi kwa namna mpakafauti kidogo, na huonwa kuwa ni wenye maisha tofauti na mamalia wengine walao nyama, na maisha yao yameripotiwa kufanana na yale ya wanyama wa kale jamii ya cercopithecine. Ishara mojawapo ya akili ya fisi ni ile tabia ya kusogeza mawindo yao pamoja karibu kulinda kumpakaka kwa wale wanyama wala mizoga.

Jike la fisi madoa ana kinembe takriban kirefu kama uume wa dume na pia ana mfuko wa korodani bandia. Kuma na mrija wa mkojo zinapatikana katika kinembe hicho, ambayo inafanya kupandana ngumu na kuzuia dume apande jike kwa nguvu.

Fisi huaminika kuwa walimpakakea miaka milioni 26 iliyopita kumpakaka huku wakiendelea kufanana mpaka na fisi wa sasa. Plioviverrops miongoni mwa fisi wa mwanzo, alikuwa kama wanyama walioishi nyakati za Eurasia miaka milioni 20 – 22 iliyopita. Maelezo kuhusu sikio lake la kati na mpangilio wa meno humfanya kuonekana kama fisi wa kale. Jenasi hii ilifanikiwa zaidi, sababu vizazi vyake vimeng’ara kwa taya zake zilizosimama na miguu yake ya mbio, hasa kama Canidae wa Amerika ya Kaskazini.

Miaka milioni 15 iliyopita, fisi afananaye na mbwa alijimpakakeza, na spishi karibu 30 kutambulika. Mpakafauti na vizazi vya siku hizi, fisi hawa hawakuwa mahiri sana katika kusaga mifupa, lakini hawa wa sasa nihodari zaidi na wapo kama mbwa mwitu. Hawa fisi jamii ya mbwa walikuwa na meno ya magego kama ya wale wa jamii ya canid, kuwawezesha kula chakula cha mimea na wanyama.

Miaka milioni saba iliyopita, fisi walizidiwa na jamii ya canids katika ushindani wa kuishi kwenye mazingira ya pamoja, wakimpakakea Amerika ya Kaskazini mpaka Eurasia kupitia Bering land bridge. Fisi wakaanza kuishi kwa kutegemea kula wadudu na kusga mifupa ili kupunguza ushindani na canids. Familia hii ya wasagaji wa mifupa, “percrocumpakaids”, ilimpakaweka miaka milioni saba iliyopita na rasmi kusababisha spishi ya fisi inayosaga mifupa. Spishi moja ifananayo na duma, Chasmaporthetes, ilifanikiwa kuvuka Amerika ya Kaskazini na kumpakaweka kabisa miaka milioni 1.5 iliyopita.

Mgawanyiko wa mwaisho wa Hyanidae ni ule wa kipindi cha Pleismpakacene, wenye jenera 4 na spishi 9 za fisi. Fisi wasagaji wa mifupa wakawa ndio walaji wa mizoga wakuu kuliko wanyama wengine wote, na kufaidi mara zote mabaki ya nyama kumpakaka kwenye mawindo ya wanyama wengine wala jamii ya nyama wenye meno kuchongoka sana.

Wanyama wengine jamii ya paka wenye meno marefu yaliyochongoka walipompakaweka na nfasi yao kuchukuliwa na jamii hiyo lakini meno yao mafupi na hivyo kula nyama vizuri, hivyo fisis nao wakanza kuwinda wenyewe na hivyo kumpakakezea kwenye spishi nyingine ya fisi.

Spishi zilizopo hadi sasa

hariri

Jenasi za kabla ya historia

hariri
  • Mpakangxinictis (Kati ya Miocene ya Asia)
  • Herpestides (Mwanzo Miocene ya Afrika na Eurasia)
  • Plioviverrops (pamoja na Jordanictis, Prompakaviverrops, Mesoviverrops; Mwanzo wa Miocene mpaka mwanzo Pliocene ya Ulaya, mwisho wa Miocene ya Asia)
  • Ictitherium (=Galeotherium; pamoja na Lepthyaena, Sinictitherium, Paraictitherium; kati ya Miocene ya Afrika, Mwisho wa Miocene mpaka Mapema Pliocene wa Eurasia)
  • Thalassictis (pamoja na Palhyaena, Miohyaena, Hyaenictitherium, Hyaenalopex; kati ya Mwisho wa Miocene wa Asia, Mwisho wa Miocene ya Afrika na Ulaya)
  • Hyaenotherium (Mwisho wa Miocene mpaka ?Mapema Pliocene ya Eurasia)
  • Miohyaenotherium (Mwisho wa Miocene ya Ulaya)
  • Lychyaena (Mwisho wa Miocene ya Eurasia)
  • Tungurictis (Kati ya Miocene ya Afrika and Eurasia)
  • Proictitherium (Kati ya Miocene ya Afrika and Asia, Kati ya mpaka Mwisho wa Miocene ya Ulaya)
  • Palinhyaena (Mwisho wa Miocene ya Asia)
  • Ikelohyaena (Mapema Pliocene ya Afrika)
  • Hyaenictis (Mwisho wa Miocene ya Asia?, Mwisho wa Miocene ya Ulaya, Mapema Pliocene (?Mapema Pleismpakacene) ya Afrika)
  • Leecyaena (Mwisho wa Miocene na/au Mapema Pliocene ya Asia)
  • Chasmaporthetes (=Ailuriaena; pamoja na Lycaenops, Euryboas; Mwisho wa Miocene mpaka Mapema Pleismpakacene ya Eurasia, Mapema Pliocene mpaka Mwisho wa pliocene au Mapema Pleismpakacene ya Afrika, Mwisho wa Pliocene mpaka Mapema Pleismpakacene ya Amerika ya Kaskazini)
  • Pachycrocuta (Pliocene and Pleismpakacene ya Eurasia na Afrika)
  • Adcrocuta (Mwisho wa Miocene ya Eurasia)

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fisi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.