Ibilisi (kutoka Kigiriki Διάβολος, diabolos kupitia Kiarabu) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mwekakiwazo" na linatumika kwa Shetani.

Jaribu la Eva, mchoro wa John Roddam Spencer Stanhope, 1877.
Jaribu la Kristo jangwani, mchoro wa Juan de Flandes.

Neno hili hutumika mara 35 katika Agano Jipya, sehemu muhimu zaidi ya Biblia ya Kikristo.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.