Ichiro Mizuki (水木一郎, Mizuki Ichirou) (amezaliwa 7 Januari 1948 mjini Tokyo) alikuwa mwanamuziki, msanii na mchezaji wa Japani. Jina lake la kuzaliwa ni Toshio Hayakawa (早川俊夫, Hayakawa Toshio). Anafahamika zaidi kama Aniki. Alikuwa anapiga muziki wa anison na J-pop. Nyimbo alizowahi kuimba ni "Mazinger Z", "Great Mazinger", "Steel Jeeg", "Combattler V", "Captain Harlock", "Golion" na "Jikuu Senshi Spielvan".

Ichiro Mizuki
Ichiro Mizuki ya Japan Expo 2007
Ichiro Mizuki ya Japan Expo 2007
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Aniki
Nchi Ujapani
Alizaliwa 7 Januari 1948
Tokyo, Japani
Kazi yake Mwanamuziki, Msanii, Mchezaji
Miaka ya kazi mn. 1968 -
Ameshirikiana na JAM Project, Mitsuko Horie, Hironobu Kageyama

Ichiro Mizuki ajiunga na shule ya Setagaya Gakuen School, yeeanza na shughuli solo chake ya 1968, amepata umaarufu zaidi baada ya kutoa singles yake ya "Kimi ni sasageru Boku no Uta" na "Dare mo inai Umi". Katika miaka ya 70 alivuma sana na albamu yake ya Mazinger Z iliyovunja rekodi ya mauzo kwa kuuza nakala 700,000. Katika 2000, aliingia kundi la muziki wa anison JAM Project kwa Hironobu Kageyama, Masaaki Endou, Eizo Sakamoto na Rica Matsumoto.

Albamu Alizotoa Ichiro Mizuki

  • 1989: OTAKEBI Sanjou! Hoeru Otoko Ichiro Mizuki Best (OTAKEBI参上!吠える男 水木一郎ベスト)
  • 1990: Ichiro Mizuki OTAKEBI 2 (水木一郎 OTAKEBI2)
  • 1990: Ichiro Mizuki All Hits Vol.1 (水木一郎 大全集Vol.1)
  • 1991: Ichiro Mizuki All Hits Vol.2 (水木一郎 大全集Vol.2)
  • 1991: Ichiro Mizuki Ballade Collection ~SASAYAKI~ Vol.1 (水木一郎バラード・コレクション~SASAYAKI~Vol.1)
  • 1991: Ichiro Mizuki All Hits Vol.3 (水木一郎 大全集Vol.3)
  • 1992: Ichiro Mizuki All Hits Vol.4 (水木一郎 大全集Vol.4)
  • 1992: Ichiro Mizuki All Hits Vol.5 (水木一郎 大全集Vol.5)
  • 1993: Dear Friend
  • 1994: Ichiro Mizuki no Tanoshii Asobi Uta (水木一郎のたのしいあそびうた)
  • 1995: Ichiro Mizuki Best & Best (水木一郎 ベスト&ベスト)
  • 1997: ROBONATION Ichiro Mizuki Super Robot Complete (ROBONATION 水木一郎スーパーロボットコンプリート)
  • 1998: Neppuu Densetsu (熱風伝説)
  • 1999: Neppuu Gaiden -Romantic Master Pieces- (熱風外伝-Romantic Master Pieces-)
  • 2001: Aniki Jishin ~30th Anniversary BEST~ (アニキ自身~30th Anniversary BEST~)
  • 2004: Ichiro Mizuki Best of Aniking -Red Spirits- (水木一郎 ベスト・オブ・アニキング -赤の魂-)
  • 2004: Ichiro Mizuki Best of Aniking -Blue Spirits- (水木一郎 ベスト・オブ・アニキング -青の魂-)

Nyimbotaja

Anime

Mchezo wa video

Tokusatsu

Filamu Alizoigiza

Anime

Tokusatsu

Mchezo wa video

Fasihi

  • Hitoshi Hasebe: "Anison - Kashu Ichiro Mizuki Sanjuu Shuunen Kinen Nekketsu Shashinshuu" (兄尊(アニソン)―歌手水木一郎三十周年記念熱血写真集) (1999, Oakla Publishing) ISBN 4-8727-8461-8
  • Ichiro Mizuki & Project Ichiro: "Aniki Damashii ~Anime Song no Teiou / Mizuki Ichirou no Sho~" (アニキ魂~アニメソングの帝王・水木一郎の書~) (2000, Aspect) ISBN 4-7572-0719-0

Viungo vya nje

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ichiro Mizuki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.