Isidori wa Kio

Isidori wa Kio (alifariki 251) alikuwa Mkristo (labda kutoka Aleksandria, Misri) aliyeuawa katika kisiwa cha Krio (leo nchini Ugiriki) wakati wa dhuluma ya kaisari Decius wa Dola la Roma.

Mt. Isidori (kazi ya karne ya 6).

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 14 Mei.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isidori wa Kio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.