Isidori wa Misri (alifariki 404 hivi) ni kati ya mapadri wa Misri walioishi vizuri imani yao jangwani.

Alimuunga mkono Athanasius dhidi ya Uario. Kwa sababu hiyo alidhulumiwa.

Tangu kale wanaheshimiwa kama mtakatifu lakini haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.