Janet Kirina

mwigizaji

Janet Kirina Nariki (amezaliwa eneo la Kajiado, 25 Aprili 1986[1]) ni mwigizaji, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji na mwenyeji katika vipindi vya runinga wa Kenya. Kirina anafahamika kwa majukumu yake katika Makutano Junction.

Kazi hariri

Uigizaji hariri

Kirina ametokea katika utayarishaji wa filamu na vipindi mbali mbali vya runinga nchini Kenya. Ametokea katika mchezo wa kuelimisha wa Ssoap opera, Makutano Junction. Ameigiza kama msichana mdogo mwenye kifafa na mwenye kutokujiamini na mpenziwe Tony anaendesha biashara ya mgahawa kutoka katika familia ya Mabuki.Ameigiza pamoja na, Charles Ouda, Wanja Mworia, Emily Wanja na Maqbul Mohammed. As from 2010, she hosted a Kid-show, Know Zone, where she co-hosted with Charles Ouda, having been colleagues in Makutano Junction[2]

Muziki hariri

Kirina aliingia kwenye muziki mnamo tarehe 22 Februari 2013 ambapo alitoa nyimbo yake ya kwanza, "Night Out".[3] Mnamo August 2013, aliachilia nyimbo yake ya pili, "Kata Kata",[4] "Niingize Box".[5] Mpaka 2015, hakuwa ameweka wazi kuhusu mipango yake ya albamu.s

Filamu hariri

Filamu na Runinga hariri

Mwaka Jina Jukumu maelezo
2008 Benta Benta Filamu
All Girls Together Josie Filamu
2008–2014 Makutano Junction Florence Series regular
Season 6
2009 Block-D Rita Series regular
Season 1
2010 Higher Learning Series regular
Season 1 – 4
Know Zone mtangazaji

Diskografia hariri

Mwaka Nyimbo Mtayarishaji Albamu Ref(s)
2013 "Night Out"  — TBA [2]
"Niingize box"  — [2]

Tuzo hariri

Tuzo za Kalasha, Tuzo za Kisima hariri

mwaka Tuzo Jamii Mpokeaji/Project Result
2009 Tuzo za Kalasha Muigizaji bora wa kike Benta Ameshinda[6]
2012 Mwigizaji bora wa kike katika michezo ya kuigiza runingani Higher Learning Kigezo:Aliteuliwa
Tuzo za Muziki Kisima Kisima muimbaji mpya Janet Kirina Kigezo:Aliteuliwa[7]

Marejeo hariri

  1. "Janet Kirina". actors.co.ke. Iliwekwa mnamo 29 March 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 2.2 "Hot: Janet Kirina". Kenya Buzz. Iliwekwa mnamo 28 December 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Wangwau, Adam (22 February 2013). "Actress to Release New Single Today". Ghafla. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 January 2016. Iliwekwa mnamo 28 December 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. Watiri, Sue (13 August 2013). "Actress Janet Kirina Now Pursuing Music.". Ghafla. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 January 2016. Iliwekwa mnamo 28 December 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  5. Wagwua, Adam (14 January 2015). "PHOTOS: Actress/Singer Unveils Sexy New Look". Ghafla. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 January 2016. Iliwekwa mnamo 28 December 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  6. "2009 winners". Kalasha Awards. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-17. Iliwekwa mnamo 5 January 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  7. Wangwau, Adam (3 November 2014). "Full Winners' List: Kisima Awards 2012". Ghafla. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 December 2015. Iliwekwa mnamo 5 January 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Janet Kirina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.