Jean-Baptiste Bagaza
mwanasiasa wa burundi
Jean-Baptiste Bagaza (29 Agosti 1946 - 4 Mei 2016) alikuwa mwanasiasa na askari (Kanali) wa Burundi aliyetawala nchi kama rais na kihalisia kama dikteta kwa miaka kumi kati ya Novemba 1976 na Septemba 1987.
Jean-Baptiste Bagaza | |
Jean-Baptiste Bagaza, 1978 | |
Muda wa Utawala 1 Novemba 1976 – 3 Septemba 1987 | |
Waziri Mkuu | Édouard Nzambimana (1976–1978) |
---|---|
mtangulizi | Michel Micombero |
aliyemfuata | Pierre Buyoya |
tarehe ya kuzaliwa | Rutovu, Ruanda-Urundi (saga Burundi) | 29 Agosti 1946
tarehe ya kufa | 4 Mei 2016 (umri 69)[1] Brussels, Ubelgiji |
chama | Union for National Progress (UPRONA) Party for National Recovery (PARENA) |
ndoa | Fausta Bagaza |
watoto | 4 |
Military service | |
Allegiance | Burundi |
Tanbihi
hariri- ↑ Chan, Sewell (2016-05-04). "Jean-Baptiste Bagaza, Deposed Leader of a Troubled Burundi, Is Dead at 69". The New York Times. ISSN 0362-4331. Iliwekwa mnamo 2016-05-04.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jean-Baptiste Bagaza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |