Michel Micombero
mwanasiasa wa burundi
Michel Micombero (26 Agosti 1940 - 16 Julai 1983) alikuwa mwanasiasa na askari wa Burundi aliyetawala nchi kama rais wa kwanza na kihalisia kama dikteta kwa miaka kumi kati ya 1966 na 1976.
Michel Micombero | |
Michel Micombero, 1966 | |
Muda wa Utawala 28 Novemba 1966 – 1 Novemba 1976 | |
Waziri Mkuu | Albin Nyamoya (1972–1973) |
mtangulizi | Ntare V, mfalme Mwenyewe, kama waziri mkuu |
aliyemfuata | Jean-Baptiste Bagaza |
Waziri mkuu wa Burundi
| |
Muda wa Utawala 11 Julai 1966 – 28 Novemba 1966 | |
Monarch | Ntare V |
mtangulizi | Léopold Biha |
aliyemfuata | Mwenyewe, kama rais |
tarehe ya kuzaliwa | Rutovu, Ruanda-Urundi (saga Burundi) | 26 Agosti 1940
tarehe ya kufa | 16 Julai 1983 (umri 42) Mogadishu, Somalia |
chama | Union for National Progress (UPRONA) |
ndoa | Adèle Nzeyimana (m. 1965–1983) |
mhitimu wa | Royal Military Academy Chuo Kikuu cha Taifa cha Somalia |
Military service | |
Allegiance | Ufalme wa Burundi (1962–1966) Burundi (1966–1976) |
Service/branch | Jeshi la Ulinzi la Taifa wa Burundi |
Years of service | 1962–1976 |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michel Micombero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |