Jeneva Hernandez Gray
Jeneva Ann Hernandez Gray (alizaliwa 5 Oktoba, 2006) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kanada anayekipiga katika timu ya Vancouver Whitecaps Girls Elite kwenye ligi ya kwanza ya British Columbia.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ Adams, J.J. (Novemba 24, 2023). "How do you replace the G.O.A.T.? That's for Canada coach Bev Priestman to figure out". The Province.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Jeneva Hernandez Gray VWFC profile". Vancouver Whitecaps FC.
- ↑ "Whitecaps FC announce winners for 2023 Player Awards". Vancouver Whitecaps FC. Novemba 5, 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jeneva Hernandez Gray kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |