Jeradi wa Brogne (Staves, Namur, Ubelgiji, 895 hivi - Namur, 3 Oktoba 959) alikuwa askari wa ukoo maarufu ambaye akawa abati wa monasteri aliyoianzisha huko Brogne, leo nchini Ubelgiji, akajitahidi kueneza urekebisho wa umonaki katika monasteri nyingine 18 za eneo hilo[1].

Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 3 Oktoba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.