Jimbo la Abidjan au Jimbo huru la Abidjan (kwa Kifaransa: District autonome d'Abidjan) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire na ni moja kati ya majimbo huru mbili za nchi. Iko Kusini mwa nchi.

Faili:Abidjan Ville Collage.jpg
Jimbo la Abidjan


Jimbo la Abidjan
Jimbo la Abidjan is located in Côte d'Ivoire
Jimbo la Abidjan
Jimbo la Abidjan

Eneo katika Côte d'Ivoire

Majiranukta: 5°24′32″N 4°2′31″W / 5.40889°N 4.04194°W / 5.40889; -4.04194
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Abidjan
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 4,707,404

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 4,707,404.

Makao makuu yako Abidjan.