Konya (kwa Kituruki: قونیه; pia Koniah, Konieh, Konia, na Qunia; kihistoria pia unajulikana kama Ikonio kutoka Kilatini Iconium na Kigiriki: Ἰκόνιον Ikónion) ni mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Konya.

Mji wa Konya

Mji huo uko katikati ya mkoa wa Anatolia, mita 1,200 juu ya usawa wa bahari.

Mji una wakazi wapatao 1,412,343 (kwa hesabu ya mwaka wa 2007).

Mtume Paulo alihubiri wake huko walau katika safari yake ya kwanza ya umisionari.

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Konya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.