Jimbo la Uchaguzi la Bahari
Bahari lilikuwa Jimbo la uchaguzi katika Mkoa wa Pwani wa Kenya, mojawapo ya majimbo matatu ya uchaguzi katika Wilaya ya Kilifi.
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa Kenya wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988Timothy Mtana Lewa | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja | |
1992 | J. Safari Mumba | KANU | |
1997 | Jembe Mwakalu | KANU | |
2002 | Joe Matano Khamisi | NARC | |
2007 | Benedict Fodo Gunda | ODM |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Banda ra Salama | 10,962 |
Chasimba | 17,871 |
Junju | 28,876 |
Kilifi Township | 45,236 |
Matsangoni | 14,645 |
Mtwapa | 66,268 |
Mwarakaya | 15,140 |
Ngerenya | 14,450 |
Roka | 15,375 |
Takaungu Mavueni | 26,479 |
Tezo | 22,116 |
Ziani | 14,588 |
Jumla | x |
Hesabu ya 1999 |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
Utawala wa Mtaa |
---|---|---|
Chasimba | 4,840 | Kilifi county |
Hospital / Sokoni | 9,367 | Kilifi (mji) |
Junju | 7,304 | Kilifi county |
Kibarani | 4,884 | Kilifi (mji) |
Matsangoni | 3,980 | Kilifi county |
Mavueni/Mkongani | 3,251 | Kilifi (mji) |
Mnarani | 2,603 | Kilifi (mji) |
Mtepeni | 7,587 | Kilifi county |
Mwarakaya | 7,462 | Kilifi county |
Ngala | 3,826 | Kilifi (mji) |
Ngerenya | 4,140 | Kilifi county |
Roka | 3,993 | Kilifi county |
Shauri Moyo / Takaungu | 4,401 | Kilifi (mji) |
Shimo la Tewa | 7,138 | Kilifi county |
Ziani | 3,929 | Kilifi county |
Jumla | 78,705 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency