Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002


Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 2002 ulikuwa uchaguzi wa tatu nchini humo chini ya mfumo wa vyama vingi. Ulifanywa mnamo 27 Desemba 2002.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Uchaguzi wa Urais

hariri
e • d Muhtasari wa matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa Kenya, 2002
Wagombea - Vyama Kura %
Emilio Mwai Kibaki - National Rainbow Coalition 3,647,658 61.3
Uhuru Kenyatta - Kenya African National Union 1,836,055 20.2
Simeon Nyachae - Forum for the Restoration of Democracy-People 345,161 5.9
James Orengo - Social Democratic Party 24,568 0.4
David Ng'ethe - Chama Cha Uma 10,030 0.1
Total (Waliojitokeza: 56.1 %)  
Kiini: Daily Nation


Matokeo ya Kimikoa

hariri
Mkoa Kibaki % Kenyatta % Nyachae % Orengo % Ng'ethe % Waliojiandikisha Waliojitokeza
Kati 701,916 68.9% 308,012 30.2% 4,441 0.4% 1,443 0.1% 2,053 0.2% 1,563,084 66.1%
Pwani 228,915 62.7% 121,645 33.4% 11,716 3.2% 1,539 0.4% 823 0.2% 879,741 42.1%
Mashariki 749,654 72.5% 270,225 26.1% 7,863 0.8% 3,509 0.3% 2,216 0.2% 1,734,209 60.9%
Nairobi 279,705 76.4% 76,001 20.8% 8,775 2.4% 891 0.2% 301 0.1% 884,135 42.0%
Kaskazini Mashariki 34,916 28.1% 83,358 67.1% 5,660 4.6% 297 0.2% 73 0.1% 216,336 57.8%
Nyanza 521,052 61.3% 64,471 7.6% 252,448 29.7% 9,620 1.1% 1,115 0.1% 1,555,986 55.6%
Bonde la Ufa 624,501 43.2% 769,242 53.3% 45,145 3.1% 3,826 0.3% 1,624 0.1% 2,415,555 60.8%
Magharibi 506,999 76.3% 143,101 21.5% 9,073 1.4% 3,443 0.5% 1,825 0.3% 1,202,104 57.1%
Kiini: Electoral Commission of Kenya

Uchaguzi wa Wabunge

hariri
e • d Summary of the 27 December 2002 National Assembly of Kenya election results
Parties Votes % Direct seats Nominated Total seats
National Rainbow Coalition Liberal Democratic Party 56.1 59 7 132
Democratic Party 39
Forum for the Restoration of Democracy-Kenya 21
National Party of Kenya 6
Kenya African National Union 29.0 64 4 68
Forum for the Restoration of Democracy-People . 14 1 15
Sisi Kwa Sisi . 2 2
Safina . 2 2
Forum for the Restoration of Democracy-Asili . 2 2
Shirikisho Party of Kenya . 1 1
Ex officio members 2 2
Total (turnout 56.1 %)   212 12 224
Source: Daily Nation and electionguide.org.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002 kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

]