Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997


Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1997 ndio ulikuwa wa pili katika Mfumo wa Vyama Vingi nchini Kenya. Ulifanyika tarehe 29 Desemba 1997.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Matokeo ya Urais hariri

Kulikuwa na wagombezi watano muhimu wa urais katika uchaguzi huu, huklu mmoja akiwa mwanamke wa kwanza kugomba urais nchini Kenya:

  1. Daniel Arap Moi
  2. Mwai Kibaki
  3. Raila Amollo Odinga
  4. Michael Wamalwa Kijana
  5. Charity Ngilu
    Miongoni mwa wengine
Chama Mgombea Idadi ya Kura %
KANU Daniel Arap Moi 2,500,856 40.60%
DP Mwai Kibaki 1,911,742 31.00%
NDP Raila Odinga 667,886 10.80%
FORD-K Kijana Wamalwa 505,704 8.20%
SDP Charity Ngilu 488,600 7.90%
Others Others 84,644 1.40%
Total 6,159,432
Waliojitokeza: 68.2% (Wapiga kura waliojiandikisha: 9,030,167)


Matokeo ya Urais Kimikoa hariri

Mkoa Moi % Kibaki % Raila % Wamalwa % Ngilu % Wengine % Wapigakura
Waliojiandikisha
Waliojitokeza
%
Kati 56,367 5.6% 891,484 89.4% 6,869 0.7% 3,058 0.3% 30,535 3.1% 9,347 0.9% 1,346,189 74.1%
Bonde la
Ufa
1,140,109 69.5% 343,529 21.0% 36,022 2.2% 102,178 6.2% 11,345 0.7% 6,232 0.4% 2,160,453 75.9%
Western 314,669 44.9% 9,755 1.4% 13,458 1.9% 338,120 48.2% 3,429 0.5% 21,496 3.1% 1,028,732 68.1%
Nyanza 215,923 23.6% 138,202 15.1% 519,180 56.8% 14,623 1.6% 15,301 1.7% 11,245 1.2% 1,361,251 67.2%
Mashariki 370,954 35.6% 296,335 28.5% 7,787 0.7% 7,017 0.7% 349,754 33.6% 8,916 0.9% 1,433,737 72.6%
Nairobi 75,272 20.6% 160,124 43.9% 59,415 16.3% 24,971 6.8% 39,707 10.9% 5,066 1.4% 726,779 50.2%
Coast 257,056 63.4% 51,909 12.8% 24,844 6.1% 11,306 2.8% 38,089 9.4% 22,180 5.5% 800,689 50.6%
Kaskazini
Mashariki
70,506 73.2% 20,404 21.2% 311 0.3% 4,431 4.6% 440 0.5% 162 0.2% 172,337 55.9%
Total 2,500,856 40.6% 1,911,742 31.0% 667,886 10.8% 505,704 8.2% 488,600 7.9% 84,644 1.4% 9,030,167 68.2%
Kiini: Electoral Commission of Kenya

Matokeo ya Ubunge hariri

(Wabunge 222, 12 wakiteuliwa na rais, 210 wakichaguliwa na raia kutumikia kipindi cha miaka mitano)

Chama Viti
KANU 107
DP 39
NDP 21
Ford-Kenya 17
SDP 15
SAFINA 5
Ford-People 3
Ford-Asili 1
Vyama vidogo 2
  • Viti vilivyoteuliwa na rais—KANU 6, DP 2, FORD-Kenya 1, SDP 1, NDP 1, SAFINA 1

[1]

Marejeo hariri

  1. http://www.umsl.edu/services/govdocs/wofact98/134.htm Archived 3 Juni 2010 at the Wayback Machine. Results from World Factbook 1998

Out for the Count: The 1997 General Elections and Prospects for Democracy in Kenya, Rutten, Marcel et al Eds., Uganda, Fountain, 2001.

Viungo vya nje hariri