Jiofizikia

Jiofizikia (kwa Kiingereza "Geophysics") ni fani ya sayansi ya miamba na dutu nyingine zinazounda dunia, pamoja na muundo wa kimaumbile uliomo duniani, ndani yake na juu ya uso wake.

false color image
Ramani ikionyesha umri wa sakafu za bahari.
Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.