Judikaeli (590 hivi - Bretagne, leo nchini Ufaransa, 659 hivi) alikuwa mfalme wa Bretagne kabla ya kwenda tena kuishi monasterini. Akiwa madarakani alijitahidi sana kupatanisha wananchi wake na wavamizi Wafaranki[1].

Sanamu yake huko Paimpont.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Bibliotheca hagiographica latina, vol. I, n. 4504.
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.