Jules Aarons (3 Oktoba 1921 - 21 Novemba 2008) alikuwa mwanafizikia wa masuala ya anga wa Marekani aliyejulikana kwa ajili ya utafiti wake wa mawimbi ya redio, na mpiga picha aliyejulikana kwa kupiga picha mitaani huko Boston.

Maisha

hariri

Aarons alizaliwa huko Bronx, ambapo baba yake alifanya kazi katika sekta ya kutengeneza nguo.

Alijifunza fizikia katika Chuo Kikuu cha Boston, Alihitimu katika Chuo Kikuu cha Jiji la New York mnamo 1942, akapata digrii na shahada mwaka 1949. Mwaka 1953 alishinda scholarship Fulbright na kupata Ph.D. yake.

  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jules Aarons kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.