Juliani wa Brioude

Juliani wa Brioude (Vienne, leo nchini Ufaransa, karne ya 3 - Brioude, karibu na Clermont-Ferrand, leo nchini Ufaransa, 304) alikuwa askari Mkristo aliyeuawa kwa kukatwa kichwa kutokana na imani yake[1].

Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 28 Agosti[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.