Julie Arblaster

Mwanasayansi wa Australia. Yeye ni Profesa katika Shule ya Dunia, Anga na Mazingira katika Chuo Kikuu cha Monash.

Michelle Arblaster ni mwanasayansi wa Australia alikuwa ni profesa wa shule ya ya masuala ya dunia ,anga na mazingira kwenye chuo kikuu cha Monash alishiriki katika kuandika ripoti ya serikali inayohusu mabadiliko ya tabia ya nchi na alipokea medali ya heshima ya mwaka 2007 pia mwaka 2004 alipata medali hio baada ya kufanya uchunguzi wa vimondo na bahari ,pia amekua kama mtu mwenye ushawishi mkubwa wa mwaka 2010 hadi 2020 kama mwanasayansi wa dunia.

Arblaster alikulia Swan hill huko Loddon Mallee mji wa victoria,Australia , alipata stashahada yake ya elimu ya anga kutoka chuo kikuu cha Macquirie mwaka 1995.kutoka mwaka 1997 hadi 1999 alisoma katika chuo kikuu cha Colorado huko USA. Pia aliweza kusoma elimu yake ya juu (shahada ya uzamili ) ya elimu ya anga na bahari, hiyo elimu yake iliongozwa na Gernaid Meehl pia na Andrew Moore,pia kutoka mwaka 2017 hadi 2020 akimalizia PhD yake katika shule ya sayansi ya dunia viongozi wake wa PhD walikuwa David Karoly na Ian Simmonds na Gernald

kutoka mwaka 1999 hadi 2003 alifanya kazi kama profesa kwenye umoja wa uchunguzi wa anga, mwaka 2003 alirudi Australia na alifanya kazi na NCAR na shirika la Bureau of Meteorology huko Meibourne . Pia mkufunzi Arblaster alifanya kazi kama mwandamizi mwanasayansi kutoka mwaka 2003 hadi 2016 kwenye timu ya mabadiliko ya mazingira, mwaka 2020 alijiunga na shule ya sayansi ya dunia, anga na mazingira huko chuo kikuu cha Monash.

Vitu alivyokuwa anavipenda kwenye uchunguzi

hariri

Arblaster alitokea kupenda kuhusu masuala ya vimondo katika mwaka wa kwanza alipokuwa anasoma shahada na ilimpa ushawishi asome sayansi ya anga . Katika muda wake kama mwanafunzi alimaliza masomo huko Burea inayousu masuala ya vimondo na ndicho kilicho mpa hamasa ya kusoma kuhusu tabia ya nchi.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julie Arblaster kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.