Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA)
Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini[1] ni shirika la kiserikali linalosaidia afya katika nchi wanachama. Makao makuu yako mji wa Arusha, Tanzania. Shirika hili pia linasisitiza ushirikiano baina ya nchi wanachama ambazo ni Kenya, Lesotho, Malawi, Mauritius, Eswatini, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Zambia, na Zimbabwe. Jumuiya ya Afya ya inasaidia nchi tisa.
Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ilianzishwa mwaka elfu moja tisa mia na sabini na nne[2]. Tangu mwaka huo, Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ilisaidia nchi zilizo nje ya nchi tisa wanachama pia. Baadhi ya nchi hizo ni Botswana, Burundi, Kamerun, Eritrea, Gabon, Liberia, Msumbiji, Namibia, Rwanda, Shelisheli, Sudan Kusini, Sudan na Somalia.[3]
Lengo kuu la shirika hilo ni kufanya bora ufanisi wa huduma za afya. Kutimiza malengo yao ya shirika, wanashiriki na mashirika mengine, utafiti, na sera. Muda mrefu, shirika inatumaini kuongoza afya katika Afrika Mashariki, Kati, na Kusini kwamba raia katika nchi matokeo mazuri ya afya.
Mfumo wa Serikali Katika Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini
haririJumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ina matawi matano ya serikali.
- Mkutano wa Wizara ya Afya: Tawi kuu la serikali. Kazi yao ni kupitia sera na kitaifa mikakati ya afya. Pia wanafafanua mashaka ya juu ya afya.
- Kamati ya Ushauri: Tawi hilo linahudumia mwili ya uongozi ya katibu wakuu.
- Kamati ya Ushauri ya Pamoja ya Wakuu: Kamati ya juu ya ufundi
- Kamati za Wataalamu wa Miradi: Kamati madogo za ufundi
- Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ya Katibu Wakuu: Kamati hii inatekeleza miradi ya afya.
Programu Katika Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini
haririShirika hili lina programu tatu.
Mafanikio ya Afya ya Umma ya Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini
hariri- Wameelimisha ya juu ya elfu mbili miwongozaji wa afya
- Uundaji wa lebo juu ya sabini nchini wanachama
- Wananzishwa wa vyuo saba vya afya
Vyuo Vikuu Vinavyohusika na Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini
haririMarejeo
hariri- ↑ "ECSA-Health Community - Fostering Regional cooperation for Better Health" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-04-26.
- ↑ "East Central and Southern Africa Health Community (ECSA HC) | AUDA-NEPAD". www.nepad.org. Iliwekwa mnamo 2024-04-26.
- ↑ "East Central and Southern Africa Health Community". GAIN (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26.