Kabujogera ni makazi katika wilaya ya Kitagwenda katika Mkoa wa Magharibi huko Uganda.

Mahali pa Kabujogera katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°05′43″S 30°23′49″E / 0.09528°S 30.39694°E / -0.09528; 30.39694

Ni moja ya manispaa mbili katika wilaya mpya ya Kitagwenda, nyingine ikiwa halmashauri ya mji wa Ntara ambapo makao makuu ya wilaya yanapatikana.[1]

Marejeo hariri

  1. Christopher Tusiime (28 June 2019). "Kamwenge District Bids Farewell to Kitagwenda". Kampala: Uganda Radio Network. Iliwekwa mnamo 28 November 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)