Kaisari Leo V (775 hivi - 25 Desemba 820) alitawala Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka 813[1] hadi 820, alipouawa.

Sarafu yenye sura yake na ya mwanae Konstantino.

Katika historia ya Kanisa anakumbukwa kwa kudhulumu Wakristo wengi akidai wasitumie tena picha takatifu.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Mango, Cyril A., mhr. (1997). "A.M. 6305". The Chronicle of Theophanes Confessor. Oxford University Press. uk. 502. ISBN 9780198225683.

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Bizanti bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaisari Leo V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.