Kanisa la Armenia
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Kanisa la Armenia linaweza kumaanisha:
- Kanisa la Kitume la Armenia lililoanzishwa katika karne ya 1 BK, na kutambuliwa na serikali ya armenia kama dini rasmi ya nchi nzima mwaka 301
- Kanisa Katoliki la Armenia lililopangwa upya mwaka 1742
- Kanisa la Kiinjili la Armenia lililoanzishwa mwaka 1846
- Kanisa lolote linalofuata madhehebu ya Armenia