Kanisa Katoliki la Armenia

Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Kanisa Katoliki la Armenia (kwa Kiarmenia Հայ Կաթողիկէ Եկեղեցի Hay Kat’oġikē Ekeġec’i) ni madhehebu ya Kanisa Katoliki yanayofuata mapokeo ya Kanisa la Armenia katika ushirika kamili na Papa wa Roma.

Makao makuu ya Patriarki Katoliki wa Waarmenia, Bzoummar, Lebanon.

Ushirika huo ulidhoofika baada ya Mtaguso wa Kalsedonia (451), hasa kutokana na ugumu wa mawasiliano. Lakini haukuisha kabisa, na kwa nyakati mbalimbali uliweza kuimarishwa tena, hasa kuanzia 1195.

Liturujia hariri

Kanisa hilo linatumia liturujia ya Armenia inayofuata mapokeo ya Gregori Mletamwanga, aliyeingiza taifa lote la Armenia katika Ukristo.

Uongozi na uenezi hariri

Mkuu wake anaitwa Patriarki wa Kilikia wa Waarmenia na kwa sasa ni Nerses Bedros XIX Tarmouni.

Makao makuu huko Bzoummar (Lebanoni, lakini waamini wengi wanaishi Armenia na katika nchi za kandokando. Wengine wanaishi sehemu nyingi duniani. Jumla wako 539,806 (2008).

Majimbo hariri

Kanda ya Kanisa ya Patriarki wa Kilikia wa Waarmenia hariri

Majimbo makuu hariri

Majimbo hariri

Esarkia ya kitume hariri

Ordinariati hariri

Esarkia ya kipatriarki hariri

Picha hariri

Viungo vya nje hariri