Kanuto Lavard (kwa Kideni: Knud Lavard; Roskilde, Denmark, 12 Machi 1096msitu wa Haraldsted, karibu na Ringsted, Zealand, Denmark, 7 Januari 1131) alikuwa mtawala wa kwanza wa Schleswig chini ya wafalme wa Denmark na wa Ujerumani vilevile[1][2][3][4][5].

Mt. Kanuto katika mchoro wa ukutani, kanisa la Vigersted, karibu na Ringsted.

Alitawala kwa busara na haki lakini akaja kuuawa kwa husuda na mdogo wake Magnus, baadaye mfalme Magnus I wa Sweden (1106 hivi - 1134).

Kanuto Lavard alitangazwa mtakatifu na Papa Aleksanda III mwaka 1169.[6][7]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[8].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. He was an ancestor of the Valdemarian kings (Valdemarerne) and of their subsequent royal line. Canute Lavard was the father of King Valdemar I of Denmark (Valdemar den Store) and grandfather of King Valdemar II of Denmark (Valdemar Sejr).
  2. "Valdemarstiden 1157-1241". Aarhus University. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo Mei 1, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Valdemar den Store". Kings of Denmark.dk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-21. Iliwekwa mnamo Januari 1, 2018. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Valdemar Sejr". Kings of Denmark.dk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-21. Iliwekwa mnamo Januari 1, 2018. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Kong Valdemar Sejr". Danmarks Konger. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-07. Iliwekwa mnamo Mei 1, 2018. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Knud Lavard". Danmarks Konger. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-14. Iliwekwa mnamo Januari 1, 2018. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Carl Frederik Bricka. "Magnus (Nielsen), 1106-1134". Dansk biografisk Lexikon. Iliwekwa mnamo Mei 1, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John (1993) The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. (New York: Penguin Books) ISBN|0-14-051312-4
  • Mortensen, Lars Boje (2006) The Making of Christian Myths in the Periphery of Latin Christendom (Ca. 1000-1300) (Museum Tusculanum Press) ISBN|978-87-635-0407-2

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.