Papa Alexander III

(Elekezwa kutoka Papa Aleksanda III)

Papa Alexander III (1100/110530 Agosti 1181) alikuwa Papa kuanzia tarehe 7/20 Septemba 1159 hadi kifo chake[1]. Alitokea Siena, Italia[2].

Papa Aleksanda III.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Rolando Bandinelli.

Alimfuata Papa Adriano IV akafuatwa na Papa Lucius III.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.