Eneo bunge la Kapenguria


Eneo bunge la Kapenguria ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo manne katika kaunti ya Pokot Magharibi.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Francis Polisi Loile Lotodo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1990 E.L. Lotim KANU Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Francis Polisi Loile Lotodo KANU
1997 Francis Polisi Loile Lotodo KANU
2001 Samuel Chumel Moroto KANU Uchaguzi Mdogo
2002 Samuel Chumel Moroto KANU
2007 Julius Murgor ODM

Kata na Wodi

hariri
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Chekomos 2,385
Chemwochoi 3,887
Chepkopegh 12,146
Endugh 5,896
Kaibos 4,167
Kaisagat 8,119
Kanyarkwat 6,451
Kapenguria 14,607
Kapkoris 10,123
Keringet 3,045
Kipkomo 9,277
Kishaunet 13,661
Miskwony 5,825
Mnangei 15,379
Nakwijit 2,605
Ptoyo 6,153
Riwo 8,601
Senetwo 5,403
Serewo 3,992
Sook 2,944
Talau 4,964
Tamugh 4,839
Ywalateke 8,361
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Chekomos 626 Pokot County
Chemwochoi 1,492 Munisipali ya Kapenguria
Chepareria / Kosulol 2,459 Chepareria (Mji)
Chepkopegh 3,101 Pokot County
Endugh 1,412 Pokot County
Kaibos 1,118 Munisipali ya Kapenguria
Kanyarkwat 2,203 Pokot County
Kapchemogen 1,301 Chepareria (Mji)
Kapenguria 4,056 Munisipali ya Kapenguria
Kapenguria North 2,298 Pokot County
Keringet / Psigirio 3,091 Munisipali ya Kapenguria
Keringet 2,012 Pokot County
Kisiaunet 4,280 Munisipali ya Kapenguria
Miskwony 1,634 Pokot County
Nakwijit 545 Pokot County
Ptoyo 1,511 Pokot County
Riwo 3,417 Pokot County
Senetwo 1,528 Chepareria (mji)
Siyoi 2,336 Munisipali ya Kapenguria
Sook 832 Pokot County
Talau 1,413 Munisipali ya Kapenguria
Tamugh 1,305 Pokot County
Ywalateke 1,216 Chepareria (Mji)
Jumla 45,186
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri