Karalampo na wenzake

Karalampo na wenzake Porfiri, Daukto na wanawake watatu (walifariki Magnesia, Asia Ndogo, katika Uturuki ya leo, 202) walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Septimius Severus[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 10 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.