Kashashi ni kata ya Wilaya ya Siha katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania, yenye msimbo wa posta 25402[1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 5,573 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,694 [3] walioishi humo.

Kati hiyo inaundwa na vijiji sita: Kirisha, Kyengia, Manio, Lokiri, Kashashi na Naweru.

Kashashi in ashule za msingi Kirisha, Suumu, Kyengia, Kittahemwa, Naweru, Lokiri.

Kashashi ina shule ya sekondari moja inayojulikana kwa jina la Suumu Sekondari.

Kashashi imetoa madiwani Erenest Maimu, Elirehema Masaki, Aikaeli Kileo, Suzan Kihundwar, Suzan Natai na Immanuel Saro.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Siha - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania  

Biriri | Donyomurwak | Gararagua | Ivaeny | Karansi | Kashashi | Kirua | Livishi | Makiwaru | Miti Mirefu | Nasai | Ndumeti | Ngarenairobi | Olkolili | Ormelili | Sanya Juu | Songu

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kashashi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.