Kastori wa Tarso ni kati ya Wakristo wa Kilikia, leo nchini Uturuki, waliofia dini ya Ukristo huko Tarso.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Machi[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.