Kat DeLuna
Kathleen Emperatriz "Kat" DeLuna (amezaliwa tar. 17 Novemba,[1] 1987[2] mjini The Bronx, New York) lakini amekulia katika moja kati ya sehemu za Newark, New Jersey. Kat ni mwimbaji wa Kimarekani mwenye asili ya Kidominika.
Kat DeLuna | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Kathleen Emperatriz DeLuna |
Amezaliwa | 17 Novemba 1987[1][2] The Bronx, New York City, New York, Marekani |
Asili yake | Newark, New Jersey |
Aina ya muziki | R&B |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mnenguaji |
Miaka ya kazi | 2006 - hadi leo |
Studio | Epic/Konvict Muzik |
Ame/Wameshirikiana na | Elephant Man, Omarion, Busta Rhymes, Don Omar, Akon, Darin |
Tovuti | www.katdeluna.com |
Wazazi wake wote wanatokea huko Dominika, mama yake, ana miliki duka la mikate mjini mwa mji wa Newark. Kwa sasa ameingia mkataba na studio ya Epic Records/GMB na studio ya Akon maarufu kama Konvict Muzik.
Konvict imetoa kile cha moyoni kwa kusema kuwa wanampango wa kuitoa upya albamu yake ya kwanza ya mwanadada huyu ya 9 Lives, lakini maelezo yake wa hivi karibuni alioyatoa kupitia mtandao wa myspace na kusema kwamba, amerejea zake studio kwa ajili ya kutoa albamu ya pili, na kupendekeza kuwa albamu ya 9 Lives haito tolewa tena, bali atashughulikia albamu mpya tu.
Wasifu
haririMaisha y awali
haririMuziki
haririAlbamu
haririMwaka | Albamu | Chati iliyoshika | Mauzo | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
US | Ufa | Urn | AUS | Ujer | Ube | Uho | Kan | Usw | Ufi | IRE | SWI | UK | |||
9 Lives | Dunia nzima: 100,000+ | ||||||||||||||
Untitled | WW: - |
Single
haririMwaka | Jina | Chati iliyoshika | Album | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
US | FRA | PT | AUS | GER | BE | NL | CA | SE | FI | IRE | SWI | UK | |||
2007 | "Whine Up" (akishirikiana na Elephant Man) | ||||||||||||||
2008 | "Run The Show" (akishirikiana na Busta Rhymes) | ||||||||||||||
"Am I Dreaming" | |||||||||||||||
"In The End" |
Mwaka | Jina (Single za Kushirikishwa) | Chati iliyoshika | Albamu | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
US | FRA | PT | AUS | GER | BE | NL | CA | SE | FI | IRE | SWI | UK | |||
2007 | "Cut Off Time" (Omarion akish. Kat DeLuna) | ||||||||||||||
2008 | "Breathing Your Love" (Darin akish. Kat DeLuna) |
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Official Website
- Official MySpace
- Kat DeLuna kwenye Internet Movie Database
- MTV Tr3s Kat DeLuna Artist Page Ilihifadhiwa 24 Oktoba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Kat De Luna, Nuevas Canciones - Billboard En Español Ilihifadhiwa 1 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.