9 Lives
9 Lives ni albamu ya kwanza ya mwimbaji wa R&B Bi. Kat DeLuna. Albamu hii ilitolewa nchini Marekani mnamo tar. 7 Agosti 2007.
9 Lives | ||
---|---|---|
Studio album ya Kat DeLuna | ||
Imetolewa | 7 Agosti 2007 (Tazama Historia ya Matoleo) |
|
Imerekodiwa | 2007 | |
Aina | R&B | |
Lebo | Epic | |
Mtayarishaji | RedOne Productions | |
Tahakiki za kitaalamu | ||
Kasha lingine | ||
Kasha la pili |
||
Single za kutoka katika albamu ya 9 Lives | ||
|
Utayarishaji wa albamu
haririDeLuna ameshirikiana kuandika kila nyimbo na RedOne, ambaye pia ametayarisha albamu hii. Albamu ilipata kushika nafasi ya 58 katika chati za U.S. kwa Billboard 200 bora, na kuweza kuuza nakala 11,000 katika wiki ya kwanza tangu kutolewa.
[1]Albamu hii iliuza nakala 63,000 kwa Marekani na ikauza zaidi dunia nzima kwa kupata dola za Kimarekani zipatazo 100,000.
Single
haririSingle ya kwanza kutoka katika albamu hii ni "Whine Up" ilifanya vizuri, lakini ilikuwa ikiwika kwa matumaini. Single ya pili kutoka katika ilitakiwa iwe "Am I Dreaming" ambayo tayari alishaifanyia video yake, lakini ilighailishwa kwa kufuata mdororo wa albamu.
Video yake ilipigiwa katika Jamhuri ya Dominika na inaonyesha akiwa anaimba wimbo huu akiwa na wachezaji kadhaa waliomzunguka huku akiwa wanapitapita katika mitaa ya Uchina. Video hii pia yaweza kuonekana kwa kupitia Youtube.
DeLuna na watayarishaji wake wameamua kuendelea na wimbo mwingine wenye spidi kubwa kama ule wa "Whine Up" kwa lengo la kuupokea ule wa "Am I Dreaming" wakaamua kuutoa wimbo wa "Run the Show" ambayo ameshirikiana na Busta Rhymes, na Don Omar ikiwa kama single ya pili. Video ya "In The End" inaweza kupatikana katika tovuti rasmi ya DeLuna ya ukurasa wa YouTube. Video ya "In The End" ilitolewa manamo tar. 1 Novemba 2008.
Orodha ya nyimbo
haririToleo la kawaida
hariri- "9 Lives" (Intro) - 1:06
- "Run the Show" (akishirikiana na Shaka Dee) - 3:31
- "Am I Dreaming" - 4:14
- "Whine Up" (akishirikiana na [Elephant Man]]) - 3:25
- "Feel What I Feel" - 4:04
- "Love Me, Leave Me" - 4:11
- "In the End" - 3:23
- "Love Confusion" - 4:02
- "Animal" - 3:23
- "Be Remembered" (akishirikiana na Shaka Dee) - 3:37
- "Enjoy Saying Goodbye" - 4:05
Nyimbo za ziada
hariri- "Whine Up" (En Español) (akishirikiana na Elephant Man) - 3:25
- "Como un Sueño" (En Español) (Am I Dreaming) - 3:59
- "Run the Show" (En Español) (akishirikiana na Don Omar) - 3:30
- "How We Roll" (Wimbo wa Ziada wa Kijapani)
- "You Are Only Mine" (Wimbo wa Ziada wa Kijapani) - 3:30
Kutolewa upya na Kuhondoshwa katika iTunes Store
haririMapema mwezi wa Februari katika mwaka wa 2008, albamu ilitolewa kimya-kimya katika maduka ya iTunes. Hamna sababu zilizotolewa juu ya mahondosho hayo ya albamu hii, lakini inaonekana zaidi kwa sababu albamu imetolewa upya. Lakini single ya "Whine Up" na "Run the Show" zimebaki kulekule.
Toleo jipya linategemewa kutolewa wakati wa kiangazi cha 2008 na itatolewa na studio ya Akon yaKonvict Muzik.
Orodha ya Nyimbo za Toleo Jipya
hariri- "9 Lives" (Intro) - 1:08
- "Run the Show" (akimshirikisha Busta Rhymes) - 3:31
- "Am I Dreaming" (akimshirikisha Akon) - 3:58
- "Feel What I Feel" - 4:04
- "Whine Up" (akimshirikisha Elephant Man) - 3:25
- "Love Me, Leave Me" - 4:11
- "In the End" - 3:23
- "Love Confusion" - 4:02
- "Animal" - 3:23
- "You Are Only Mine" - 3:30
- "Enjoy Saying Goodbye" - 4:05
Nyimbo za Ziada
hariri- "Whine Up" (En Español) (akimshirikisha Elephant Man) - 3:25
- "Run the Show" (En Español) (akimshirikisha Don Omar) - 3:33
- "Como un Sueño" (En Español) (Am I Dreaming) - 3:59
Toleo la Deluxe
haririToleo la Deluxe lilipangwa litolewe nchini Marekani kunako tar. 29 Julai 2008 lakini baadaye ilighailishwa kwa sababu zisizojulikana.
Historia ya Matoleo
haririMkoa | Tarehe | Maelezo |
---|---|---|
Marekani | 7 Agosti 2007 | Haipatikani Tena Kupita Maduka ya iTunes |
Japan | 8 Agosti 2007 | Haipatikani Tena Kupita Maduka ya iTunes |
Ufaransa | 21 Aprili 2008 | |
Singapore | 1 Mei 2008 | |
Ujerumani | 25 Julai 2008 | |
Australia | 29 Septemba 2008 | |
Poland | 8 Septemba 2008 |
Chati zake
haririChati (2008) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Belgium Albums Top 50 | 16 |
French Albums Chart | 26 |
U.S. Billboard 200 | 58 |
Swiss Albums Top 100 | 49 |
Australian ARIA Urban Albums | 46 |
Finnish Albums Chart | 15 |
Austrian Albums Chart | 65 |
Polish Albums Chart[2] | 78 |
Marejeo
hariri- ↑ Katie Hasty, "After Five-Year Absence, UGK Scores First No. 1 Album" Ilihifadhiwa 16 Juni 2008 kwenye Wayback Machine., Billboard.com, 15 Agosti 2007.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-20. Iliwekwa mnamo 2008-11-13.