Ombeni Sefue

Mwanadiplomasia wa Tanzania

Ombeni Yohana Sefue (alizaliwa 26 Agosti 1954) ni mwanadiplomasia wa Tanzania aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tarehe 31 Desemba 2011.[1] Pia aliwahi kuwa mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Mataifa.

Kuanzia mwaka 2007 hadi mwaka 2010 alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na kati ya mwaka 1993 na 2005 alikuwa mwandishi wa hotuba za rais [2]

Marejeo

hariri
  1. "Sefue is new Chief Secretary". Daily News, (Tanzania). 30 Desemba 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-23. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. https://live.worldbank.org/experts/ombeni-sefue
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ombeni Sefue kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.