Katrina Kaif
Katrina Kaif (kəˈʈriːnaː ˈkɛːf, alizaliwa Katrina Turquotte, 16 Julai 1983) ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo kutoka Uingereza.
Katrina Kaif | |
---|---|
Katrina Kaif | |
Amezaliwa | 16 Julai 1983 |
Kazi yake | mwigizaji wa filamu na mwanamitindo kutoka Uingereza |
Ana umaarufu kwa ajili ya kazi yake katika filamu za Kihindi. Alionekana hasa katika filamu za Bollywood kwa lugha kama vile Kitelugu na Kimalayalam.
Mbali na kuwa moja ya waigizaji wenye kulipwa pesa ya juu, wanahabari humtambua kama mmoja ya wanatajika wenye kuvutia sana.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Katrina Kaif at the Internet Movie Database
- Choudhary, Anuradha. ""I'm a Barbie doll" – Katrina Kaif", Filmfare, 12 April 2013. Retrieved on 4 March 2014.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Katrina Kaif kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |