Wilaya ya Kericho

Wilaya ya Kericho ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Kericho
Wilaya ya Kericho katika Kenya
Wilaya ya Kericho katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kericho
Eneo
 - Wilaya 2,454.5 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 752,396

Makao makuu yalikuwa mjini Kericho.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kericho.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kericho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.