Eneo bunge la Alego Usonga


Eneo bunge la Alego Usonga ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hilo linapatikana katika Kaunti ya Siaya na ni mojawapo ya majimbo sita ya uchaguzi katika kaunti hiyo. Linashirikisha wodi 13 za udiwani, tano kati yao zikiwachagua madiwani kwa munisipali ya Siaya na zingine saba kwa baraza la mashinani la Siaya County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianza wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963, likiitwa Jimbo la Alego-Usonga.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Luke Rarieya Obok KANU
1966 Luke Rarieya Obok KPU
1969 Peter Okudo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Peter Oloo-Aringo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Peter Oloo-Aringo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Peter Oloo-Aringo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Peter Oloo-Aringo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Otieno Mak’Onyango Ford-K
1997 Peter Oloo-Aringo NDP
2002 Samuel Arthur Weya NARC
2007 Edwin Ochieng Yinda ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura
waliojisajili
Serikali ya Mtaa
Boro East 4,145 Siaya county
Boro West 4,163 Siaya county
East Alego 10,042 Siaya county
Mjini 6,348 Munisipali ya Siaya
North Alego 4,918 Siaya county
Siaya Central 2,032 Munisipali ya Siaya
Siaya East 2,701 Munisipali ya Siaya
Siaya North 2,974 Munisipali ya Siaya
Siaya West 3,740 Munisipali ya Siaya
South Alego 8,213 Siaya county
South West Alego 6,338 Siaya county
Usonga 4,881 Siaya county
West Alego 5,808 Siaya county
JUmla 66,303
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri