Eneo bunge la Rarieda
Eneo bunge la Rarieda ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo mawili ya Kaunti ya Siaya. Eneo lote la Jimbo hili liko chini ya baraza la Bondo County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilibuniwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Bob Francis Jalang’o | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Achieng Oneko | Ford-Kenya | |
1997 | George Odeny Ngure | NDP | |
2002 | Raphael Tuju | NARC | |
2007 | Nicholas Gumbo | ODM |
Wodi
haririWodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Central Asembo | 7,480 |
East Asembo | 6,378 |
Madiany East | 10,372 |
Madiany West | 11,038 |
Rarieda West | 8,403 |
Jumla | 43,671 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Rarieda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |