Kazadi Kasengu

Mchezaji mpira wa Kongo



Kazadi Kasengu (amezaliwa 20 Julai 1992) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Singida Fountain Gate FC ya Tanzania na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kazadi Kasengu
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 20 Julai 1992 (1992-07-20) (umri 31)
Mahala pa kuzaliwa    Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Urefu 1.74 m (5 ft 8 12 in)
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Klabu za vijana
AS Vita 2013-2016

DC Motema Pembe 2016-2018

AS Vita 2018-2019

SSC Mohameddia 2019-2020

Wydad Casablanca 2020-2020

Al Masry 2020-2023

Singida Fountain Gate Fc 2023 -

Timu ya taifa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

* Magoli alioshinda

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kazadi Kasengu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.