Kedroni wa Aleksandria
Kedroni wa Aleksandria alikuwa askofu wa nne wa mji huo wa Misri (5 Septemba 96 - 28 Juni 106)[1].
Inasemekana alibatizwa na Marko Mwinjili.
Alifia dini yake katika dhuluma ya kaisari Trajan[2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake, 28 Juni.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Atiya, Aziz S. "Synaxarion, Copto-Arabic". Claremont Coptic Library. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 22 Novemba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ It was said that the reason for the arrest was that one of the Roman governors had said to him, “Why do you not have our gods partake with your God and continue to worship him?" So he answered, “Because we do not prostrate before any other.” His martyrdom took place on the 21st of Paoni (28 June), in 106 AD. He was chaste and had all the good virtues, so he shepherded the Church with hard work and loyalty, for eleven years, one month, and twelve days, then died in peace.
Marejeo
hariri- Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
- Atiya, Aziz S. The Coptic Encyclopedia. New York: Macmillan Publishing Co., 1991. ISBN|0-02-897025-X
Viungo vya nje
hariri- [1]
- The Official website of the Coptic Orthodox Pope of Alexandria and Patriarch of All Africa on the Holy See of Saint Mark the Apostle Archived 9 Machi 2018 at the Wayback Machine.
- Coptic Documents in French
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |